Chairperson
Katika mwezi wa Septemba 2022, Ndugu IS-HAKA ALI KHAMIS ameteuliwa rasmi kuwa Mwenyekiti wa Mahakama ya Ardhi Zanzibar kuchukuwa nafasi ya ndugu Khamis R. Khamis.
Mahakama ya Ardhi Zanzibar imeanzishwa chini ya kifungu cha 3 (1) cha Sheria ya Mahakama ya Ardhi nambari 7 ya mwaka 1994 S. 3 of the Land Tribunal Act no. 7 of 1994. Sheria hii ilipitishwa na Baraza la Wawakilishi Zanzibar mnamo Tarehe 27/09/1994 na hatimae ilitiwa saini mnamo tarehe 24/2/1995 na aliyekua Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi wa wakati huo MHE. DK. SALMIN AMOUR JUMA.
Urban Region | 11.31 % |
---|---|
North Region (U) | 16.08 % |
South Region (U) | 13.57 % |
North Region (P) | 20.85 % |
South Region (P) | 20.85 % |