FUNCTION

Mahakama ya Ardhi ina mamlaka ya kupokea, kusikiliza na kutoa maamuzi juu ya migogoro inayohusu;-

  •   Kesi zinazohusiana na madai ya haki ya matumizi ya ardhi na kushilikia ardhi yoyote ile.
  •    Kusimamia uwekaji wa mipaka katika ardhi yenye shughuli ya ugawaji wa vikataa vya ardhi na suala jengine lolote ambalo linahitaji uwekeaji wa mipaka.
  •   Kuthibitisha uhaulishaji au ukodishaji ambao umefanyiwa uchunguzi na Bodi ya uhaulishaji ya ardhi.
  •   Umiliki wa ardhi katika maeneo ya miji na maeneo ya kilimo.
  •   Kesi zinazoletwa na mkurugenzi wa ardhi kwa madhumuni ya kuirejesha ardhi yoyote inayomilikiwa na mtu yoyote.
  •   Kurejesha Serikalini ardhi yoyote inayomilikiwa na umma.
  •   Kuhaulisha mali ambapo ni kinyume na sheria zinazotumika na kilimo au viwanda vya mazao ya kilimo au mikataba ya ukodishaji wa ardhi.
  •   Mabishano ugawaji usio wa kisheria na matumizi mengine yanayohusu migawanyo au ukataji wa vikataa vya ardhi usio wa halali.
  •    Matumizi ya maendeleo ya ardhi kwa madhumuni ya hifadhi na matumizi ya mali asili.

TANBIHI

Migogoro inapohusu serikali kama mdai au mdaiwa mashauri hupelekwa Mahakama kuu au Mahakama ya Mkoa.

OUR STATISTICS

The figures are based on cases reported in our tribunals from 2006 to the present
Cases Status
% Based on Total Number of Filed Cases   
Urban Region 11.31  %
North Region (U) 16.08  %
South Region (U) 13.57  %
North Region (P) 20.85  %
South Region (P) 20.85  %

Chair Photo

Chairperson

Mr: Is-haka Ali Khamis

Chairperson

Katika mwezi wa Septemba 2022, Ndugu IS-HAKA ALI KHAMIS ameteuliwa rasmi kuwa Mwenyekiti wa Mahakama ya Ardhi Zanzibar kuchukuwa nafasi ya ndugu Khamis R. Khamis.

  RELATED LINKS