Chairperson
Katika mwezi wa Septemba 2022, Ndugu IS-HAKA ALI KHAMIS ameteuliwa rasmi kuwa Mwenyekiti wa Mahakama ya Ardhi Zanzibar kuchukuwa nafasi ya ndugu Khamis R. Khamis.
1. Kufanya kazi kwa kuzingatia Maadili,Taaluma na Uwajibikaji.
2. Kutoa huduma bora na kwa wakati zenye kuridhisha wananchi
3. Kutoa huduma kwa uwazi na ufanisi kwa kuzingatia taaluma ya sheria.
Kuhakikisha kuwa MAHAKAMA YA ARDHI inamaliza migogoro ya ardhi iliyowasilishwa Mahakamani kwa asilimia tisini ( 90% ) ifikapo mwaka 2025.
Kupokea, kusikiliza na kuamua migogoro yote ya ardhi inayowasilishwa Mahakamani kwa haraka na kwa wakati.
Urban Region | 11.31 % |
---|---|
North Region (U) | 16.08 % |
South Region (U) | 13.57 % |
North Region (P) | 20.85 % |
South Region (P) | 20.85 % |