Mr: Is-haka Ali Khamis
Katika mwezi wa Oktobar tarehe 20 mwaka 2022, Ndugu IS-HAKA ALI KHAMIS ameteuliwa rasmi kuwa Mwenyekiti wa Mahakama ya Ardhi Zanzibar kuchukuwa nafasi ya ndugu Khamis R. Khamis.