ORGANIZATION STRUCTURE

Taasisi hii inaongozwa na Mwenyekiti ambae ndie kiongozi na mtendaji mkuu anaechaguliwa na Mhe. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, mwenyekiti anatekeleza majukumu yake ya kiutawala akisaidiana na Manaibu wenyeviti wawili (2) mmoja kwa upande wa Unguja na mwengine kwa upande wa Pemba, aidha Mahakimu huchaguliwa na Tume ya Utumishi ya Mahakama na kupangiwa kazi na Mhe Jaji Mkuu. Wakati washauri wa mahakama wao huteuliwa na Mhe. Jaji Mkuu kwa kushauriana na Mwenyekiti wa Mahakama ya Ardhi. Hata hivyo Washauri wa Mahakama ya Ardhi si wajiriwa wa Serikali.

OUR STATISTICS

The figures are based on cases reported in our tribunals from 2006 to the present
Cases Status
% Based on Total Number of Filed Cases   
Urban Region 11.31  %
North Region (U) 16.08  %
South Region (U) 13.57  %
North Region (P) 20.85  %
South Region (P) 20.85  %

Chair Photo

Chairperson

Mr: Is-haka Ali Khamis

Chairperson

Katika mwezi wa Septemba 2022, Ndugu IS-HAKA ALI KHAMIS ameteuliwa rasmi kuwa Mwenyekiti wa Mahakama ya Ardhi Zanzibar kuchukuwa nafasi ya ndugu Khamis R. Khamis.

  RELATED LINKS