Chairperson
Katika mwezi wa Septemba 2019, Ndugu KHAMIS RASHID KHAMIS ameteuliwa rasmi kuwa Mwenyekiti wa Mahakama ya Ardhi Zanzibar kuchukuwa nafasi ya ndugu Faraji Shomari Juma.
Mahakama ya Ardhi Zanzibar imeanzishwa chini ya kifungu cha 3 (1) cha Sheria ya Mahakama ya Ardhi nambari 7 ya mwaka 1994 S. 3 of the Land Tribunal Act no. 7 of 1994. Sheria hii ilipitishwa na Baraza la Wawakilishi Zanzibar mnamo Tarehe 27/09/1994 na hatimae ilitiwa saini mnamo tarehe 24/2/1995 na aliyekua Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi wa wakati huo MHE. DK. SALMIN AMOUR JUMA.
Urban Region | 54.11 % |
---|---|
North Region (U) | 1.43 % |
South Region (U) | 3.2 % |
North Region (P) | 9.65 % |
South Region (P) | 31.61 % |